News Archive

Timu ya NSSF wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi mkuu wa NSSF Bwana William Erio Baada ya Kushinda Mchezo wao wa kirafiki baina yake na ZSSF uliochezwa katika viwanja vya  Mao Zendong  Visiwani Zanzibar

Mkurugenzi Mkuu wa ZSSF Bi Sabra Issa akikabidhi Tuzo ya Ushindi kwa Kapteni wa Timu ya NSSF Bwana Baome Kiwamba baada ya NSSF Kuibuka washindi katika Mchezo wa Kirafiki uliochezwa katika viwanja vya Mao Zedong Visiwani Zanzibar

 

 

Frequently Asked Questions

 • Nawezaje kuwa mwanachama wa NSSF? +

  Tafadhali fika katika ofisi yoyote ya NSSF iliyo karibu yako kwa zoezi la uandikishaji ukiwa na picha moja ya passport Read More
 • Napataje taarifa ya Michango yangu? +

  Kupata taarifa ya Michango, unafanya ifuatavyo : a) Sajili Tuma neno sajili,acha nafasi, weka namba yako ya uanachama. Tuma kwenda namba Read More
 • Je nifanyeje endapo michango yangu haionekani katika taarifa za akaunti yangu? +

  Tafadhali fika ofisi ya NSSF iliyo karibu nawe ili kujua sababu ya kutoonekana kwa michango yako na kuelekezwa utaratibu wa Read More
 • Je narekebishaje michango yangu? +

  Michango ya mwanachama itarekebishwa kulingana na sababu zinazopelekea kutoonekana kwa michango hiyo katika taarifa ya michango. Ofisi husika itakupa muongozo zaidi. Read More
 • Je mwanachama anayesafiri anaweza kumwachia mtu au ofisi imfatilie madai na kuchukua malipo yake?? Kwa utaratibu gani?? +

  Ndio, mwanachama anaruhusiwa kwa kujaza fomu za mandate (NSSF 22) zilizothibitishwa na mwanasheria na kufata taratibu zote za kisheria zilizoainishwa Read More
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4