News Archive

Mkurugenzi Mkuu alipowasili katika banda la NSSF na kukutana na timu yake akiwemo mhamasishaji Mrisho Mpoto

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF William Erio akiwa katika picha  ya pamoja na  kijana Musa Nchambis ambaye ni Mjasiriamli aliyejiandikisha NSSF na Mkurugenzi kuhamasika kumuanzishia mchango wa mwezi mmoja wa  kuanzia.Musa Nchambis na vijana wenzake wameungana na kuwa kikundi cha watu 10 wanaojishughulisha na biashara ya bidhaa za ngozi.

Afisa wa NSSF Hamisi Duma akiwasaidia kujaza fomu za uandikishaji watu  waliojitokeza kwenye banda la NSSF katika maonyesho ya Nanenae Simiyu.

Mrisho Mpoto na kikundi chake wakihamasisha watu na kutoa elimu juu ya  mafao ya NSSF katika maonyesho ya Nanenane Simiyu

 

Frequently Asked Questions

 • Nawezaje kuwa mwanachama wa NSSF? +

  Tafadhali fika katika ofisi yoyote ya NSSF iliyo karibu yako kwa zoezi la uandikishaji ukiwa na picha moja ya passport Read More
 • Napataje taarifa ya Michango yangu? +

  Kupata taarifa ya Michango, unafanya ifuatavyo : a) Sajili Tuma neno sajili,acha nafasi, weka namba yako ya uanachama. Tuma kwenda namba Read More
 • Je nifanyeje endapo michango yangu haionekani katika taarifa za akaunti yangu? +

  Tafadhali fika ofisi ya NSSF iliyo karibu nawe ili kujua sababu ya kutoonekana kwa michango yako na kuelekezwa utaratibu wa Read More
 • Je narekebishaje michango yangu? +

  Michango ya mwanachama itarekebishwa kulingana na sababu zinazopelekea kutoonekana kwa michango hiyo katika taarifa ya michango. Ofisi husika itakupa muongozo zaidi. Read More
 • Je mwanachama anayesafiri anaweza kumwachia mtu au ofisi imfatilie madai na kuchukua malipo yake?? Kwa utaratibu gani?? +

  Ndio, mwanachama anaruhusiwa kwa kujaza fomu za mandate (NSSF 22) zilizothibitishwa na mwanasheria na kufata taratibu zote za kisheria zilizoainishwa Read More
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4