mobile-taarifa

Taarifa Za Michango

Kusajili

Tuma neno sajili, acha nafasi, weka namba yako ya uanachama, Tuma kwenda namba 15747

Kupata Taarifa

Tuma neno taarifa kwenda number 15747

Kujua Salio

Tuma neno salio kwenda namba 15747

Malipo Ya Michango Kupitia M-PESA

  • Fungua M-PESA Menu *150*00
  • Lipa kwa M-PESA
  • Chagua kwenye orodha
  • Nenda zaidi
  • Chagua Mifuko ya Hifadhi ya Jamii
  • Chagua NSSF
  • Ingiza namba ya NSSF*mwezi wa mchango*mwaka (mfano 5899003*05*2014) kisha OK- huu ni mchango wa mwezi wa 5
  • Itakutaka uweke kiwango
  • Endapo unalipa mchango wa zaidi ya mwezi mmoja itakulazimu urudie taratibu zote kwa kila mwezi na uutaje mwezi husikakama ilivyo hapo juu