Tafadhali fika ofisi ya NSSF iliyo karibu nawe ili kujua sababu ya kutoonekana kwa michango yako na kuelekezwa utaratibu wa kutatua tatizo hilo.
Kama taarifa za michango ya mwanachama hazionyeshi kitu na ikathibitishwa kua mwanachama analipiwa na mwajiri wake, mwanachama anatakiwa afate taratibu za kurekebisha michango kwa kutumia fomu maalum ya marekebisho ya michango (NSSF/CON 3)