Pensheni hii hulipwa kwa mwanachama aliyepoteza angalau theuthi mbili (2/3) ya uwezo wake wa kufanya kazi kutokana na ulemavu wa kimwili au kiakili kama utakavyothibitishwa na Bodi ya Madaktari.

Sifa Zinazotakiwa.

 • Uthibitisho wa Bodi ya Madaktari wa kupoteza 2/3 ya uwezo wa kufanya kazi.
 • Michango 180 au angalau 36 kati yake michago 12 iwe imelipwa karibu na kupata ulemavu
 • Awe chini ya umri wa kustaafu

Mafao Yanayotolewa

 • Ukokotoaji wa pensheni ya ulemavu ni sawa na ule wa pensheni ya uzee isipokuwa huongezwa 1% kwa kila michango 12 inayozidi kiwango cha michango 180
 • Mafao yanayotolewa ni sawa pia na mafao ya pensheni ya uzee yaani pensheni ya kila mwezi, mkupuo wa awali na mkupuo maalum kwa aliyekosa sifa zinazotakiwa.
 • Pensheni hulipwa hadi mwanachama atakapofariki au atakapotimiza umri wa kustaafu na kuhamia pensheni ya uzee.

 

Frequently Asked Questions

 • Nawezaje kuwa mwanachama wa NSSF? +

  Tafadhali fika katika ofisi yoyote ya NSSF iliyo karibu yako kwa zoezi la uandikishaji ukiwa na picha moja ya passport Read More
 • Napataje taarifa ya Michango yangu? +

  Kupata taarifa ya Michango, unafanya ifuatavyo : a) Sajili Tuma neno sajili,acha nafasi, weka namba yako ya uanachama. Tuma kwenda namba Read More
 • Je nifanyeje endapo michango yangu haionekani katika taarifa za akaunti yangu? +

  Tafadhali fika ofisi ya NSSF iliyo karibu nawe ili kujua sababu ya kutoonekana kwa michango yako na kuelekezwa utaratibu wa Read More
 • Je narekebishaje michango yangu? +

  Michango ya mwanachama itarekebishwa kulingana na sababu zinazopelekea kutoonekana kwa michango hiyo katika taarifa ya michango. Ofisi husika itakupa muongozo zaidi. Read More
 • Je mwanachama anayesafiri anaweza kumwachia mtu au ofisi imfatilie madai na kuchukua malipo yake?? Kwa utaratibu gani?? +

  Ndio, mwanachama anaruhusiwa kwa kujaza fomu za mandate (NSSF 22) zilizothibitishwa na mwanasheria na kufata taratibu zote za kisheria zilizoainishwa Read More
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4

Login Form1