MAFAO YA MUDA MREFU

1) MAFAO YA UZEE/ OLD AGE PENSION
Viambatanisho
 1. Barua ya kustaafu kutoka kwa mwajiri
 2. Kopi ya kadi yako ya uanachama ya NSSF
 3. Picha tatu (passport size)
 4. Kopi ya kadi ya Benki
Fomu za Kujaza
 1. NSSF/ R.6
 2. NSSF/B.1
2) MAFAO YA ULEMAVU / INVALIDITY PENSION
Viambatanisho
 1. Ripoti kuhusu ulemavu kutoka kwa jopo la madaktari
 2. Picha tatu (passport size)
Fomu za Kujaza
 1. NSSF/B.1
3) MAFAO YA URITHI/SURVIVOR’S PENSION
Viambatanisho
 1. Cheti cha kifo, kopi yake iwe imethibitishwa na mahakama
 2. Muhtasari wa kikao cha wanandugu, kopi yake iwe imethibitishwa na mahakama
 3. Cheti cha ndoa ikiwa madai yatafunguliwa na mwenza wa marehemu, kopi yake iwe imethibitishwa na mahakama
 4. Cheti cha kuzaliwa ikiwa madai yatafunguliwa na motto wa marehemu kopi yake iwe imethibitishwa na mahakama
 5. Fomu Na. 4 ya usimamizi wa mirathi inayotolewa na mahakama
 6. Kadi ya uanachama ya NSSF (kama ipo)
Fomu za Kujaza
 1. NSSF/ B.2
 2. NSSF/B18

MAFAO YA MUDA MFUPI

1) KURUDISHIWA MICHANGO YA UANACHAMA / WITHDRAWAL BENEFIT
Viambatanisho
 1. Barua ya kuacha kazi kutoka kwa mwajiri (original na kopi)
 2. Kadi yako ya uanachama ya NSSF (smart card) na kopi yake
 3. Picha tatu za passport size
 4. Kopi ya kadi ya Benki
Fomu za Kujaza
 1. NSSF/R.6 (ipelekwe kujazwa kwa mwajiri)
 2. NSSF/B.17 (Jaza kopi tatu)

Angalia mfano halisi wa fomu NSSF/B.17 iliyokwishajazwa

2) MAFAO YA UZAZI / MATERNITY BENEFIT

Mwanachama anatakiwa kufungua madai akiwa wiki ya 24 ya ujauzito au ndani ya siku 90 baada ya kujifungua

Viambatanisho
 1. Picha tatu za passport size
 2. Kadi yako ya uanachama ya NSSF (Smart card) na kopi yake
 3. Kopi ya kadi ya benki
Fomu za Kujaza
 1. MB1
 2. MB2
 3. MB3
ANGALIZO

Malipo ya mafao ya uzazi hufanyika mara mbili. Malipo ya kwanza kabla ya kujifungua na malipo ya pili baada ya kujifungua na kuwasilisha TANGAZO LA /

CHETI CHA KUZALIWA MTOTO

Mwanachama awe amechangia angalau miezi 36, ikiwa miezi 12 iwe imechangiwa mara tu kabla ya kupata ujauzito

 

3) MSAADA WA MAZISHI / FUNERAL GRANT
Viambatanisho
 1. Kibali cha mazishi / cheti cha kifo
 2. Risiti halisi za gharama za mazishi zinazomuhusu marehemu moja kwa moja mfano sanda,jeneza,mashada,marashi,kuchimba kaburi
 3. Muhtasari wa kikao cha wanandugu kumteua anayekuja kufungua madai haya
 4. Kadi ya uanachama ya NSSF ya marehemu (kama ipo)
Fomu za kujaza
 1. NSSF/B.3
4) MAFAO YA MATIBABU/ SHIB
Viambatanisho
 1. Vyeti vya kuzaliwa vya watoto (Nakala halisi na kopi mbilii)
 2. Cheti cha ndoa kwa mwanachama mwenye mwenza (Nakala halisi na kopi mbili)
 3. Picha tatu za mwanachama (passport size)
 4. Picha tatu za kila mtegemezi
Fomu za kujaza
 1. SHIB 3A (kopi tatu)
ANGALIZO

Mwanachama awe amechangia angalau miezi 3 mfululizo kabla ya kujiunga na matibabu. Mwanachama anatakiwa kuchagua hospitali moja kutoka kwenye list ya hospitali tulizoingia nazo mikataba (Bofya hapa kuona orodha ya hospitali)

Frequently Asked Questions

 • Nawezaje kuwa mwanachama wa NSSF? +

  Tafadhali fika katika ofisi yoyote ya NSSF iliyo karibu yako kwa zoezi la uandikishaji ukiwa na picha moja ya passport Read More
 • Napataje taarifa ya Michango yangu? +

  Kupata taarifa ya Michango, unafanya ifuatavyo : a) Sajili Tuma neno sajili,acha nafasi, weka namba yako ya uanachama. Tuma kwenda namba Read More
 • Je nifanyeje endapo michango yangu haionekani katika taarifa za akaunti yangu? +

  Tafadhali fika ofisi ya NSSF iliyo karibu nawe ili kujua sababu ya kutoonekana kwa michango yako na kuelekezwa utaratibu wa Read More
 • Je narekebishaje michango yangu? +

  Michango ya mwanachama itarekebishwa kulingana na sababu zinazopelekea kutoonekana kwa michango hiyo katika taarifa ya michango. Ofisi husika itakupa muongozo zaidi. Read More
 • Je mwanachama anayesafiri anaweza kumwachia mtu au ofisi imfatilie madai na kuchukua malipo yake?? Kwa utaratibu gani?? +

  Ndio, mwanachama anaruhusiwa kwa kujaza fomu za mandate (NSSF 22) zilizothibitishwa na mwanasheria na kufata taratibu zote za kisheria zilizoainishwa Read More
 • 1
 • 2
 • 3
 • 4

Login Form1